Vanessa Mdee atajwa kuwania tuzo za Canada za 'Africa Entertainment Awards'
Vanessa Mdee hakika ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania wanaoshiriki katika tuzo mbali mbali za kimataifa Vee Money ama Vanessa Mdee kupitia mtandao wa Instagram afunguka kuwa amependekezwa katika kipengele cha ' Best International African Female Artist 'Tweet
0 comments:
Post a Comment