Thursday, 13 August 2015

Ali Kiba Kufanya Collaboration na Ne-Yo

Ally Kiba anazidi kupaa kimataifa, Management inayosimamia kazi za Ally Kiba iitwayo Rockstar4000 imetangaza Collabo ya Ally Kiba na Msanii wa kimataifa aliyeperform katika tuzo za MTV MAMA aitwae Ne-yo.Ally kiba ni mmoja ya wasanii wataoshiriki Coke studio na tayari imeshathibitishwa kuwa Ne-yo atakuwa mmoja ya wasanii wa kimataifa wataokuwepo katika Coke Studio mwaka huu.

Katika Mtandao wa Instagram Rockstar4000 wameandika “Exciting News: African Superstar Alikiba will be Collaborating with International Superstar Ne-yo —Mor News to follow…#kingkiba #ROCKSTAR4000.”







0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2014 KaribuVijana