Wednesday, 29 July 2015

T.I kutumbuiza October mwaka huu bondeni umeipata?

Rapper T.I wa Marekani anatarajiwa kutumbuiza jijini Johannesburg Afrika kusini october 17 2015 ,Rappa huyo atatumbuiza kwenye uzinduzi wa Jack Daniels Boomtown


photo credits -bongo5

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2014 KaribuVijana