Kumbe Ne-Yo anamkubali Diamond Platinumz
Muimbaji wa Marekani maarufu kwa jina la Ne-Yo kumbe alikuwa na shauku kubwa ya kumuona ndugu Diamond Platinumz kama ulikuwa hujui
Ne-yo alimwambia Vanessa Mdee kwenye interview ya MTV Base
Diamond maarufu kama chibu dangote na Ne-Yo wote katika pozi
0 comments:
Post a Comment