Janet Jackson akatisha maandalizi yake ya Tour kwa ajili ya kumuuguza Baba yake mzazi
Muimbaji nyota wa R&B Janet Jackson amekatisha maandalizi ya ziara yake ya dunia iliyopewa jina la 'the unbreakable tour' kufuatiababa yake mzazi ndugu Joe Jackson kupatwa na kiharusi ghafla , Janet alisafiri jumanne wiki hii kwenda Sao Paulo ,Brazil alikolazwa baba yake mzazi
Mzee Joe Jackson alilazwa jumamosi iliyopita kufuatia kupatwa na kiharusi (stroke)ambapo alikuwa akisherehekea siku yake
ya kuzaliwa Janet Jackson anatarajia kufanya show 36 katika ziara hiyo iliyopangwa kuanza agosti 31 2015
0 comments:
Post a Comment