Wednesday, 29 July 2015

Mzee Ojwang azikwa leo hii siku ya Jumatano hii 29 july 2015 katika makuburi ya Lang'ata huko Nairobi Kenya

Mr Benson Wanjau maarufu kama Mzee Ojwang hatimaye amepumzishwa katika nyumba yake ya milele katika makaburi ya Lang'ata huko Nairobi Kenya leo hii Jumatano tarehe 29 mwezi wa saba 2015










Credits to bongo5

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2014 KaribuVijana