Sauti Sol na hii ya Collabo na Akon
Wanamuziki mahiri kutoka kenya wameuthibitishia umma kuwa na kazi au project wanaifanya namsanii mkubwa kabisa kutoka Marekani Akon hii imetokea baada ya kundi hilo maarufu kupata upendeleo wa kutumbuiza
wakati wa chakula cha jioni wiki iliyopita huko Whitehouse ambapo pia wal;iweza kuonana ana kwa ana na Rais wa Marekani Barack Obama
ambapo walikuwa miongoni mwa wageni waalikwa katika hafla hiyo
0 comments:
Post a Comment