Arturo Vidal ndani ya jezi mpya za Bayern Munich
kiungo wa timu ya taifa ya chile Arturo Vidal amejiunga rasmi na klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani kutoka Juventus ya Italia
kwa uhamisho wa pauni milioni 28 mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 amesaini mkataba wa miaka minne hadi 2019
0 comments:
Post a Comment