Wednesday, 29 July 2015

Marehemu Bobbi Kristina KUzikwa jumatatu ijayo

Marehemu Bobbi Kristina


familia ya marehemu bobbi kristina- mtoto wa marehemu whitney houston mesema kuwa itakusanyika hii august 1 kuomboleza maisha
ya mpendwa wao aliyefariki dunia jumapili iliyopita kwa mujibu wa US magazine( gazeti la marekani ) ndugu watajikusanya katika
kanisa la st.james methodist huko apharetta Georgia Marekani jumamosi na atazikwa Jumatatu ijayo August 3 pembeni na alipozikwa marehemu mama yake
Whitney Houston katika makaburi ya Fairview huko New Jersey

Marehemu Whitney Houston

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2014 KaribuVijana