Jay-z na Will Smith kutayarisha series mpya ndani ya HBO
Will Smith
jay z na will smith wataungana pamoja kama watayarishaji wa series itakayorushwa na kituo cha runinga cha HBO kwa mujibu wa Entertainment Weekle , Jay-Z na Will Smith wametajwa pamoja na Jay Brown,James Lassifer na Aaron Kaplan kuwa watayarishaji wa miniseries kumhusu Emmett Till, Utengenezaji wa filamu hiyo bado upo kwenye hatua za awali sana -na Roc nation , Overbrook na Kapital Entertainment ni makampuni yatakayohusika katika utayarishaji wa series hiyo
Jay-Z katika pozi na Beyonce
Jay-Z katika pozi na Will Smith
0 comments:
Post a Comment