Azam wavuka robo fainali ya Kagame cup
Wachezaji wa Azam wakishangilia Ushindi wao dhidi ya Yanga SC katika Mechi ya robo fainali Kagame CupYanga na Azam FC zimekutana July 29 katika mchezo wa robo fainali ya nne ya Kombe la KAGAME 2015, Mchezo huo ulimalizika kwa suluhu kwa mujibu wa sheria ya CECAFA mechi za robo fainali na nusu fainali huwa hakuna dakika thelathini za nyongeza hivyo ikalazimika kupigiana penati.
Yanga na Azam FC zimekutana July 29 katika mchezo wa robo fainali ya nne ya Kombe la KAGAME 2015, Mchezo huo ulimalizika kwa suluhu kwa mujibu wa sheria ya CECAFA mechi za robo fainali na nusu fainali huwa hakuna dakika thelathini za nyongeza hivyo ikalazimika kupigiana penati.
Credits to MIllard Ayo
0 comments:
Post a Comment