Sunday, 9 August 2015

Matokeo ya Mechi za Leo Jumapili Premier League

gem ya arsenal na westham matokeo ya dakika 90 ni (0-2) westham kuibuka na ushindi wa goli 2 dhidi ya arsenal magoli ya westham yakipatikana kunako dakika ya 43 ya kipindi cha kwanza kupitia kwa Cheikhou Kouyate na katika kipindi cha pili dakika ya 57 kupitia kwa Mauro Zarate katika mchezo huo wa kusisimua wachezji kadhaa walipata kadi ya njano upande wa westham ni Mark Noble Angelo Obinze Ogbonna, James Tomkins kwa upande wa Arsenal ni Nacho Monreal


gemu ya newcastle united na southampton matokeo ya dakika 90 ni (2-2) southampton waliokuwa wageni katika mchezo huo ndio waliokuwa wa kwanza kuliona goli la wapinzani wao katika dakika ya 24 kupitia kwa Graziano Pelle kisha kufuatia goli la kusawazisha kupitia kwa Papiss Cisse dakika ya 42 kisha katika kipindi cha pili newcastle waliongeza goli jingione kupitia kwa Georginio Wijnaldum dakika ya 48 na kufanya matokeo kuwa (2-1) kabla ya Shane Long kulazimisha sare ya (2-2) kwa kutupia dakika ya 79 na kufanya mchezo uishe kwa sare ya goli (2-2)






0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2014 KaribuVijana