Manchester United yailaza Tottenham Premier League
Manchester United imeibuka kidedea kwa ushindi wa goli 1-o dhidi ya Tottenham katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza uliochezwa katika uwanja wa Old TraffordGoli la Manchester United lilifungwa na mchezaji wa Spurs Kylie Walker aliyejifunga akitaka kuokoa goli.
Tweet
0 comments:
Post a Comment