Friday, 28 August 2015

Makundi ya ligi Ya Mabingwa Ulaya kwa msimu wa 2015/2016 yatangazwa

Makundi ya ligi Ya Mabingwa Ulaya kwa msimu wa 2015/2016 yatangazwa, makundi hayo yatoka katika droo iliyofanyika mjini monaco nchini Ufaransa August 27 na kuhudhuriwa na wachezaji kadha wa kadha wa soka kama Cristiano Ronaldo , Lionel Messi , Andres Iniesta na Luis Suarez

Makundi ya ligi ya mabingwa ulaya msimu 2015/2016







0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2014 KaribuVijana