Friday, 28 August 2015

Lionel Messi Mchezaji Bora tena Ulaya

Mchezaji wa Barcelona Lionel Messi jana August 27 alishinda Tuzo ya Mwanasoka bora wa Ulaya msimu wa 2014-2015 baada ya kuwashinda wachezaji wenzake aliokuwa anachuana nao Cristiano Ronaldo , na Luis Suarez Mchezaji mwenzake wa Barcelona Timu wanayocheza pamoja

Messi ameshinda Tuzo hiyo kwa mara ya pili katika sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Monte Carlo mjini Monaco Nchini Ufaransa katika droo iliyofanyika ya makundi ya ligi ya mabingwa ya ulaya



Lionel MEssi akiwa na Tuzo yake ya Mchezaji Bora Wa Ulaya







0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2014 KaribuVijana