Lericester City yamsajili kiungo mfaransa Kante
N'Golo kanteLeicester city imemsajili kiungo mfaransa N'Golo kante kutoka klabu ya Caen ,Kante mwenye umri wa miaka 24 amesaini mkataba wa miaka 4 na anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa katika klabu hiyo chini ya kocha mpya Claudio Ranieri , jumamosi hii atajiunga katika kikosi hicho katika mchezo baina yao na Sunderland anawaunga wachezaji kadha waliosajiliwa leicester city kama Robert Huth, Christian Fuchs and Shinji Okazaki .
Share on Twitter
0 comments:
Post a Comment