Monday, 3 August 2015

Leo Ni Birthday za Football Superstars hawa kama Hujui??

Jumapili hii Agosti 2 ,2015 hii ilikuwa ni sherehe za siku ya kuzaliwa za mastaa kadha wa kadha wa soka ambao ni kama ifuatavyo

1.Meghan Klingenberg (27)


alikuwa sehemu ya timu ya taifa ya Marekani ambayo walitwaa kombe la dunia kwa Wanawake huko Canada mwaka huu 2015 ,alicheza mechi saba za taifa lake katika mashindano hayo

3. Ingvild Stensland (34)


kiungo huyu upande wa soka la wanawake aliiwakilisha timu yake ya taifa ya Norway katika mashindano mawili ya kombe la dunia katika miaka tofauti China mwaka 2007 na Ujerumani mwaka 2011

3. Marcos (42)
beki huyo mlinzi upande wa soka la wanawake alishiriki katika kombe la dunia huko Korea/Japan 2002 ambapo yeye na wenzake wa timu ya taifa ya Brazil walilitwaa kombe hilo kwa mara ya Tano.

4. Salomon Kalou (30)


staa huyu aliwika katika kombe la mataifa la afrika mwaka 2015 huko Ivory coast ambapo yeye na wachezaji wenzake wa Timu ya taifa wlilitwaa kombe hilo

5. Juanma (36)


mchezji huyo ni nyota kwa upande wa soka la ufukweni wa Timu ya Taifa ya Hispania ameshiriki katika mashindano 6 tofauti ya kombe la dunia upande wa soka la ufukweni






0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2014 KaribuVijana