Wanajeshi wa Afghanistani wauwawa na Wamarekani katika shambulio
wanajeshi takribani wanane wa afghanistan wamuwawa katika shambulio la anga lilijoaribiwa na marekani katika jimbo la logra kusini, helikopta za marekani zilishambulia kituo hicho cha ukaguzi wakati wa mchana jumatatu, hali bado si shwari katika jimbo la logra kusini ambapo maeneo mengi katika jimbo hilo yameshikiliwa na kikundi cha wapiganaji cha taliban
0 comments:
Post a Comment