Manchester United yafungwa na PSG yamaliza vibaya ziara yake nchini marekani
Manchester United yafungwa na PSG yamaliza vibaya ziara yake nchini marekani, kwa mujibu wa mtandao wa goal.com ni kwamba Manchester United walifungwa na Paris Saint Germain (PSG) 2-0 huku magoli ya PSG yakiwekwa kimiani na Zlatan Ibrahimovic na Blaise Matuidimchezo huo ulikuwa wa mwisho jijini Chicago Marekani katika Ziara yake ya kujiandaa na ligi kuu ya Uingereza
0 comments:
Post a Comment