Thursday, 30 July 2015

Je unajua Kundi maarufu la kenya la Sauti Sol walilipwa shilingi ngapi? kwa kumuimbia Obama?

Watu wengi wamekuwa wakijiuliza maswali kuwa yawezekana kuwa Sauti Sol kundi maarufu la muziki kutoka kule nchini Kenya watakuwa wamelipwa Shillingi Ngapi ? na je kama wamelipwa waweza kuwa ni kiasi gani Mamilioni au?

Lakini jibu ni kwamba Kundi hilo maarufu halikulipwa kiasi chochote cha Fedha kile...Duuh

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2014 KaribuVijana