Rappa Tyga amzawadia Mpenzi wake Kylie Jenner Gari la Kifahari Siku yake ya Kuzaliwa
Rappa Tyga amzawadia Mpenzi wake Kylie Jenner Gari la Kifahari Siku yake ya Kuzaliwa, rappa huyo amemzawadia gari la kifahari ainaya Ferrari lenye thamani ya takribani dola 320,000 hivi kwenda kwa Mpenzi wake Kylie Jenner katika siku yake hiyo ya kuzaliwaTweet
0 comments:
Post a Comment