Professor Jay achukua fomu ya kugombea ubunge 2015
Good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya msanii mkongwe wa Hip Hop, Joseph Haule a.k.a Professor Jay naye amechukua fomu ya kuwania Ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika jimbo la Mikumi mkoani Morogoro.Tweet
0 comments:
Post a Comment