Miley Cyrus amkejeli Taylor Swift
Mwanamuziki Miley Cyrus anajulikana sana kwa tabia yake ya uropokaji na hivi karibuni amefahamika kwa kumkejeli Taylor Swift ,hiyo ilikuwa katika mahojiano na Marie Claire, Miley aelezea kwanini anamchukia Taylor's katika video ya "Bad Blood"Tweet
0 comments:
Post a Comment