Utafiti wa Wanasayansi na hii kuhusu matumaini ya Tiba ya ubongo
wanasayansi na watafiti na hii ya kutangaza matokeo ya uchunguzi kuhusu matumizi ya dawa aina ya solanezumab ambayo wanatumaini itakuwa tiba ya kupunguza kasi ya kupungua kazi ya ubongo kwani ishu ni kwamba dawa iliyopo sasa insaidia kupunguza dalili na sio kusitisha kufa kwa seli za ubongomatokeo ya uchunguzi huo kuhusu dawa hiyo ya solanezumab yatatolewa katika mji wa washington dwa hiyo imekua matumaini makubwa ya malengo ya utafiti unaolenga seli za protini ziitwazo amyloid ambazo humea kwenye ubongo mtu anapokuwa na maradhi ya alzheimer


0 comments:
Post a Comment