Remix ya Classic Man ya T-pain
Wimbo ambao unafanya vizuri kwenye chati za muziki kwa wiki ya pili sasa ni Classic Man remix ya Jidenna aliyomshirikisha HipHop superstaa Kendrick Lamar.Good news kwako mtu wangu ni kwamba wimbo unazidi kupokelewa vizuri na watu, na msanii wa Pop Crunck nchini Marekani T-pain naye kaweka flava yake kwenye wimbo huo akiwa amewashirikisha wasaani wengine kama Vantrease na Young Cash.
Tweet
0 comments:
Post a Comment