Ngao ya Jamii Jumapili hii ni nani kidedea Arsenal au Chelsea?
Jumapili hii inatarajiwa kupamba moto baina ya mchezo wa ngao ya jamii unaowahusisha mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza na mabingwa wa FA mchezo huo utachezwa katika uwanja wa Wembley , jijini London nchini uingereza
0 comments:
Post a Comment